BongoVideo SaaS Platform
Jukwaa Namba #1 Afrika ya Mashariki

Miliki Website Yako Ya Video & Burudani Leo!

Anzisha biashara yako ya video kama Netflix au YouTube ndani ya dakika 2 tu. Pokea malipo ya watazamaji moja kwa moja kupitia M-Pesa, TigoPesa, Airtel & HaloPesa bila kuhitaji ujuzi wa programming.

Hakuna gharama za kuanzia
Tayari ndani ya dakika 2
Malipo salama ya Tanzania
bongovideo.net/demo-live
Video Player Preview
VIP PREMIUM 04:25 / 18:30

Uchawi wa Bongo: Sehemu ya 1

Watazamaji: 14.8K • HD 1080p

Lipa kwa Simu Papo Hapo

M-Pesa • Tigo • Airtel • Halotel

1,000/=

Mapato ya Leo

TSh 285,000

Wateja Wapya

+1,420 Mtandaoni

1,200+

Wamiliki wa Tovuti

18M+

Video Views

350M+

TSh Zimelipwa

99.9%

Uptime ya Mfumo

Teknolojia ya Kisasa

Kila Kitu Unachohitaji Ili
Ufanikiwe Mtandaoni

Mfumo wetu umebuniwa mahsusi kukufanya upate pesa kwa njia rahisi, salama, na ya haraka sana kupitia maudhui yako ya video.

15+ Templates za Kipekee

Chagua templates za kuvutia kama Netflix Dark, TikTok Swipe, Cyberpunk Neon, Glassmorphism na YouTube Hub kwa kubofya mara moja tu.

Malipo ya Papo kwa Papo (TZ)

System imeunganishwa moja kwa moja na M-Pesa, TigoPesa, Airtel Money na HaloPesa. Wateja wanalipa bila shida na mfumo unathibitisha papo hapo.

Ulinzi wa Video & Previews

Video zako zimelindwa dhidi ya upakuaji haramu. Unaweza kuweka preview ya sekunde 4 ili wateja waone kidogo kabla ya kulipia.

Kutoa Pesa Wakati Wowote

Tuma ombi la kutoa faida yako kwenye simu yako wakati wowote. Arifa za SMS na Email zinatumwa moja kwa moja.

Weka APK ya Android App

Kama una APK yako ya simu, weka link kwenye dashibodi yako na watazamaji watapata kitufe cha ku-download App yako moja kwa moja.

WhatsApp & Usaidizi wa 24/7

Weka link yako ya WhatsApp moja kwa moja kwenye tovuti yako ili wateja wako wawasiliane nawe papo kwa papo kupitia float button.

Mitindo 15+ ya Kimataifa

Chagua Muonekano Uupendao

Una uwezo wa kubadilisha template ya website yako wakati wowote bila kupoteza data au video zako.

Netflix Style

Netflix Cinema

Dark Luxury

Muundo maarufu wa giza totoro wenye horizontal scrolling na spotlight kuu ya video juu.

TikTok Mode

TikTok Swipe Feed

Mobile First

Video inajaza skrini nzima ya simu na mtazamaji anasogeza (swipe) juu na chini kama TikTok.

Cyberpunk
// NEON_OVERLOAD: ACTIVE

Cyberpunk Neon

High Contrast

Rangi kali za neon, kadi zinazong'aa, na fonti za ki-sayansi kwa ajili ya muonekano wa kisasa.

Glass UI

Glassmorphism Blur

Translucent

Kadi za kioo chenye ukungu laini zilizowekwa juu ya mwanga unaovutia wa rangi mbalimbali.

YouTube Style

YouTube Hub

Video First

Video moja kubwa inayoanza kucheza mara moja juu ikiwa na orodha ya video zingine chini.

Classic Grid

Classic Modern Grid

Popular

Mpangilio safi na mwepesi unaopakia haraka kwenye simu aina yoyote hata yenye intaneti ya polepole.

Hatua 3 Rahisi

Anzisha Ndani ya Dakika 2 Tu

Huna haja ya kulipa wataalamu mamilioni ya fedha kutengeneza website. Fanya mwenyewe sasa hivi.

01
1

Jisajili Bure

Weka jina la tovuti yako unayotaka (mfano: bongomovies). Tovuti yako inatengenezwa papo hapo kwa sekunde chache.

02
2

Pakia Video & Panga Bei

Weka video zako, chagua kama ni bure au premium, na weka bei za vifurushi vyako (mfano: TSh 1,000/= au 5,000/=).

03
3

Pata Pesa Simuni

Wape watu link ya tovuti yako. Wakishalipia kwa simu, fedha zinaingia kwenye dashibodi yako na unaweza kuzitoa wakati wowote.

Uko Tayari Kuanza Kuingiza
Kipato Mtandaoni?

Jiunge na wamiliki wa video zaidi ya 1,200 wanaotumia BongoVideo kupata mamilioni ya fedha kila mwezi.

Anza Bure Sasa Hivi